Wednesday, 19 September 2012

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA TIGO YAZINDUA KAMPENI YA "TIGO LETE KWA LUGHA'


Mkurugenzi mtendaji wa kampuni Tigo Tanzania Diego Gutierrez akifafa jambo wakati wa uzindizu wa rasmi wa kampeni ya “Tigo Lete kwa lugha” ambao una lengo la kuwekeza katika wajasiriamali ambao yatakayosaidia mawazo thabiti ya kuboresha maisha ya watoto wakwanza kushoto  Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba (katikati) afisa wa huduma za kijamii ya kampuni ya Tigo Woinde slaps Shisael.mkutano huo ulifanyika katika Hotel ya Serena jijini Dar es salaam


Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba akitoa hutuba wakati wa uzinduzi huo ambae alikuwa mgeni rasmi


Meneja mkuu wa kitengo cha kampuni ya Tigo wa huduma za kijamii, Esther Palsgraaf akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi huo wa kampeni ya “Tigo Lete kwa lugha


Wadau mbalimbali wakifatilia  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Simba, Sophia uzinduzi huo


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Simba, Sophia akipongezana mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tigo Tanzania Diego Gutierrez mara baada ya kumalizika uzinduzi hu.

No comments:

Post a Comment