Happines
Mwasalanga mratibu wa Tabata women Group
kushoto akijadiliana jambo na wajumbe wa Kikundi cha Tabata women Group.
Meneja wa
mipango Tabata women Group, Bwana Revocatus Mapesa (kushoto) na mwanachama Bi, Ritah Nguruwe (katikati), Happines Mwasalanga mratibu wa Tabata Women Group wa kwanza
kulia wakifurahia jambo wakati wa harambee hiyo.
Bi,Happines
Mwasalanga, Mratibu wa Tabata women group
kushoto akijadiliana jambo na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi Bi; Sara
Mushi (katikati) kulia mwanachama wa Tababa women group Mrs, Fotinata Luoga wakati
wa harambee ya kuchangia Taasisi ndogo ya kukuza ajira ilifanyika katika Hotel
Blue peal, Ubungo Plaza.
Wanachama na
Wajumbe wa Bodi ya Tabata Women Group katika picha ya pamoja wakigonga Cheer Kwa
furaha mara baada ya kumalizika kwa kufanyika kwa harambee hiyo.
Wanachama
wakipata burudani mara baada ya kumalizika kwa harambe hiyo ambapo jumla ya 18
milioni zimepatikana kati ya 25 zinazotegemewa kupatikana katika harambee hiyo.
No comments:
Post a Comment