Baadhi ya madereva wa pikipiki kutoka katika manispaa zote tatu za jijini Dar es Salaam, maarufu kama bodaboda wakimsikiliza mmoja ya mkufunzi kutoka jeshi la polisi kikosi chs usalama barabarani hakutoa maelezo jinsi wanavyotakiwa kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani.
Madereva bodaboda wakila kiapo mara baada ya kuitimu mafunzo ya wiki moja kuitimisha wiki ya usalama barabarani yaliyoitimishwa kwa wao kupewa leseni baada ya kuhitimu mafunzo hayo ya wiki moja yaliyofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na
Majini (SUMATRA) Bw Ahmad
Kilima wa tatu kutoka, kulia na kushuto kwake ni Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani nchini mohamed Mpinga wakishuhudia mazoezi ya vitendo kutoka kwa madereva wa bodaboda awapo pichani katika kufunga mafunzo ya wiki ya usalama barabarani.
Moja ya wahitimu wa mafunzo ya bodaboda ambao walihitimu mafunzo ya uendeshaji wa bodaboda akifanya mazoezi ya vitendo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam
Kaimu mkurugenzi wa Sumatra bwana Ahmad Kilima akisalimiana na mmoja wa wahitimu wa mafunzo na kupewa Leseni zinazotambulika kama wahitimu wa mafunzo hayo ya wiki moja yaliyofanyika katila viwanja vya mmnazi mmoja jijini dar es salaam.
No comments:
Post a Comment