Saturday, 28 July 2012

MKUTANO WA KUJADILI MAPENDEKEZO YA SHERIA MPYA MSAJILI WAHAZINA

Waziri wa fedha Mhe,William Augustao Mgimwa.akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili mapendekezo ya sheria mpya ya msajili wa hazina, mkutano huo uliudhuriwa na makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu wa wizara,na watendaji wakuu wa mashirika ya Umma ,taasisi,na wakala.lengo la mkutano huo ni kufanya ofisi inayojitegemea na yenye mamlaka kamili katika kusimamia uwajibikaji na utendaji kazi wa mashirika ya umma.Uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Blue Pearl Ubungo plaza jijini Dar es salaam.
 Baadhi ya makatibu wakiwa katika mkutano huo wakimsikiliza waziri wa Feadha Mhe,William Augustao Mgimwa wakatiwa ufunguzi wa mkutano huo jijini Dar es Salaam.
 
Waziri wa fedha Mhe, William Augustao Mgimwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano huo.


 Waziri wa fedha Mhe, William Augustao Mgimwa (kulia), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Sido Japhet Mlagula (kushoto), pamoja na Mwenyekiti wa Bodi wakala wa Mkemia mkuu wa serikali Profesa David Ngassapa (katika), Baada ya kufungua mkutano wa kujadili mapendekezo ya Sheria mpya ya msajili wa Hazina.
Waziri wa fedha Mhe, William Augustao Mgimwa akiwa kwenye picha ya pamoja na makatibu wa kuu walioshiriki katika mkutano huo mara baada ya kufunguzi mkutano huo.





No comments:

Post a Comment