Wagonjwa wawili
wamethibitishwa kuwa na virusi, mmoja wao amefariki.
Shirika la matibabu la
MSF, lenye watu wake Isiro, linasema hatua zinachukuliwa ili kumtafuta na
kumtenga mtu yeyote ambaye aliwakaribia wale walioambukizwa.
MSF katika taarifa yake inasema aina ya
virusi vya Ebola ya Congo ni tofauti na ile ya Uganda, ambayo iliuwa watu 16 mwezi
uliopita.
Sorce Bbc
No comments:
Post a Comment