Monday, 2 April 2012

Chama cha mapinduzi (CCM) kupitia  Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Bwana Nape Nnauye, leo , kimetoa tamko la kukubali kushindwa katika uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mashariki, 

No comments:

Post a Comment