Sunday, 29 April 2012

Pichani ni Mpina Baharia,Mdau akifuatilia maelezo ya mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ekelege, hayupo pichani wakati hakiwakilisha mada katika semina juu ya matumizi ya mfumo mpya manunuzi bidhaa kutoka nje ya nchi wa PVo jijini dar es salaam,

Friday, 20 April 2012

Tangazo

Wadau kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeailisha ufunguzi wa blog mpaka mapema next mounth. 

Monday, 2 April 2012

Chama cha mapinduzi (CCM) kupitia  Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Bwana Nape Nnauye, leo , kimetoa tamko la kukubali kushindwa katika uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mashariki, 

Wadau kaeni tayali kupata habari za uhakika kupitia blog hii, Habari za Kitaifa, kimataifa, Biashara, Michezo na burudani.